Hivi aliyeruhusu wanafunzi wa sekondari kuvaa hijabu alijua madhara yake?

Status
Not open for further replies.

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Suala la hijabu kuvaliwa shuleni sisi wanaoona mbali tulishajua litaleta matatizo, hasa kwa wanafunzi wanaokua tena ni wa kike.

Madhara yake wameshaanza kuzificha mimba, nywele chafu na wengine wamesuka. Pia inaondoa uniformity kwa wanafunzi.

Halafu pia nasikia maeneo mengine hata wakatoliki wameanza kudai nao kuvaa baadhi ya ishara za kikatoliki shuleni. Vipi kila dini ikidai haki hiyo hata asiyekuwa na dini akisema aende na Tunguli zake?

Tutafakari upya juu ya hijabu kuvaliwa shuleni kwa shule za Serikali.

Britanicca

 
Inabidi wawe uniform siyo mambo ya kutofautiana
 
Jamaa umetoa hoja nzuri sana.
Mjadala uendelee.
 
wavae hata wasabato na ambao hawana dini, la msingi ni kwamba mwanamke anatakiwa kusitirika.

kuhusu usafi hata kama angekuwa anatembea uchi hali hio isingethibitika.

la mwisho ondoa hio kutu kwenye moyo wako maana hutafaidika na lolote lile aidha kwa kupinga au kuwadhulumu wanaojisitiri kwa kumuogopa Mola wao.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…