Hivi Airtel ni wababaishaji kiasi hiki?

Hivi Airtel ni wababaishaji kiasi hiki?

Deeboyfrexh

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
3,422
Reaction score
5,594
Habar wana jf..
Nmeunga bando la internet yatosha la buku 3 ambalo ni 1Gigabyte for one week,leo napata very bad experience mnara hautulii kwenye 3G ingawa simu yangu inauwezo wa kulimit mnara usishuke zaidi ya hapo,nikieka Wcdma only inakataa kupandisha mnara kabisa yan simu inakuwa kama kwenye Airplane mode mpaka nikirudisha kwenye gsm ndio inakubali kukamata "E"
Katika kutafuta solution nkaona nipige customer care niulizie nini yaweza kuwa shida,cha kushangaza eti siwezi kuongea na huduma kwa wateja mpaka wanikate sh.60! Hivi hiki ni nini hawa jamaa wanatufanyia??? Kwani simu zetu za malalamiko si ndio zenye mchango katika kuboresha huduma zao pia? Kuna maana gani yakusema Airtel Yatosha kama kitu basic kama hiki wanakiwekea tozo,ina maana tusio na hela tusilalamike ama sijaelewa mantiki yao,kw mwenye wazo anishauri kitu!
 
Kama uliko Zantel iko safi basi achana na Airtel
 
yani hiyo tozo ya sh 60/- inaboa sana, juzi nilikosea kutuma hela kupitia airtel MONEY Lakini ajabu ni pale nilipoambiwa simu yangu itatozwa!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom