Hivi agenda ya CCM kwa sasa ni kutumbua na kuteua?

Euphransia

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
937
778
Wadau mpaka sasa sioni agenda ya maendeleo ya nchi nzima ikitekelezwa zaidi ya shughuli za DSM tu.Je agenda ya CCM iliyotekelezwa Kwa Kiwango kikubwa ni Kutumbua na Kuteua je ina Tija Kwa tuliosubiri kupata maendeleo?
 
Jiunge na CCM utajua. La sivyo utabaki kuwa unadandia kila tukio linalotokea bila kujau mwanzo na mwisho wake
 
Jamani watanzania hivi mbona mnakuwa wagumu kuelewa , ccm imeshindwa kuleta maendeleo kwa miaka karibu 60 , ndio ije iweze kwa miaka hii miwili ?
 
Wadau mpaka sasa sioni agenda ya maendeleo ya nchi nzima ikitekelezwa zaidi ya shughuli za DSM tu.Je agenda ya CCM iliyotekelezwa Kwa Kiwango kikubwa ni Kutumbua na Kuteua je ina Tija Kwa tuliosubiri kupata maendeleo?
Ukiharibu karatu utakaratukia hapahapa.JPM said in campaign.

Niutekelezaji tu no longolongo
 
Bajeti 2016/2017 ya trillion29 ilinunua ndege 2 ngoja tusubiri ya 2017/2018 CCM oyeeee
 
Back
Top Bottom