HIV test online.

teh teh teh!!! KARIA nimeipenda hyo!!! uwiii kumbe ndio raha hvyooo!!!
 
Last edited by a moderator:
mmmmmhhhh hii kali.
 
Aisee! Mi hapana kuwa najua. Kwahiyo mkirudiana ni mambo ya yango kwa yango? Ukimwi nini bana, tatizo mimba.
mkuu Asprin,wajua ile nyimbo.....yango na yango (nyama kwa nyama),etutana (zikikutana),sasoboooosa (ni raha tupu).
 
Last edited by a moderator:
we acha tu,ujue hao uliowataja na wengine wengi tu humu jf wamebikiriwa kwa durex,enzi zetu akivunja bikra na soo ya mimba juu.Wayakumbuka 'mafua' weye?

Heheh! Enzi zetu ukiwa na gona unasimulia mtaa mzima ili wakujue kidume. Waikumbuka perfume YU for men?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…