Jamaniee hili jukwaa siyo la mateja. Kama mtu hujui kitu usichangie kitu kwanza hatuhitaji kukujuwa na hatutahitaji kabisa. Unakuta jitu zima limebugia ugolo linachangia upuuzi na halijui chochote. Jukwaa la ugolo cyo hili ebu tusianze kuchefuana.
Hili jukwaa lina sifa zake ndo maana likaitwa hivi. Wito wangu kwa wale wabugia ugolo piteni mbali na jukwaa hili hatutak utumbo wenu wa fb na whatssapp. Mkomee!!