Nafikiri umemaanisha una rafiki ambae ana hiv , kuna siku alichomwa na mwiba wa waridi akatoa damu na the same mwiba ukakuchoma wewe sasa you are worried unaweza ukawa umepata virus , am I right? If that's the case nenda tu ukapime kujua ukweli ili usiishi kwa wasiwasi, ingawa kwa uelewa wangu mdogo naona chance ya wewe kuukwaa through that way ni ndogo sana