90+4' Mpira umekwisha.
Dakika ya 88: Serengeti wanapata mpira wa kurusha, unarushwa ndani ya eneo la 18 la Niger lakini beki wao anaubutua na kuokoa.
Dakika ya 81: Presha inazidi kuongezeka kwa Serengeti kutokana na kuwa nyuma kwa bao moja.
Dakika ya 76: Mchezo unaendelea kwa kasi, presha kubwa ipo kwa Serengeti kutafuta bao la kusawazisha.
Dakika ya 70: Mashambulizi sasa yamehamia upande wa Niger.
Dakika ya 64: Mchezo unandelea, Serengeti wanapambana kutengeneza mashambulizi.
Dakika ya 61: Kipa wa Niger anaumia mikononi wakati akiwania mpira kwenye kuokoa shambulizi.
Dakika ya 55: Niger wanafika langoni mwa Serengeti lakini mpira wa kichwa unapaa juu ya lango.
Dakika ya 51: Serengeti wanapata nafasi ya wazi lakini wanashindwa kutumia nafasi.
Kipindi cha pili kimeanza.
MAPUMZIKO
Kipindi cha kwanza kimekamilika.
Dakika ya 45: Inaongezwa dakika 1.
Dakika ya 42: Niger wanapata bao kwa kichwa, mfungaji ni Ibrahim. Aliunganisha mpira wa kona.
GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO, Niger wanaongoza kwa bao moja.
42' Mchezo baso unaendelea kwa kasi.
37' Nafasi ya wazi inapatikana kwa Serengeti wanashindwa kuitumia, straika alibaki yeye na kipa akapiga shuti likaoka nje.
35' Niger wanaendelea kutafuta bao kwa nguvu kwa kuwa wanajua sare itawaondoa mashindanoni.
30' Mchezo unaendelea kuwa wa kushambuliana kwa zamu baina ya timu zote.
20' Niger wanaokoa mpira wa kona langoni kwao, kisha wanakimbia na mpira kufanya shambulizi kali lakini kipa wa Serengeti anapangua kisha anaudaka tena mpira.
18' Niger wanafanya shambulizi kali lakini inapuliwa filimbi kutokana na mchezaji woa mmoja kucheza faulo.
16' Serengeti wanatengeneza nafasi lakini inapulizwa filimbi ya kuotea.
12' Niger ambao wanaonekana kuwa warefu wanapata kona mbili lakini wanashindwa kuzitumia vizuri.
10' Niger wanafika kwenye lango la Serengeti lakini kazi nzuri ya walinzi wa Serengeti inafanya kazi.
05' Mchezo bado hauna kasi kubwa.
02' Timu zinaanza kusomana taratibu.
00' Mchezo umeanza.
Waamuzi wanazungumza na manahodha. Huu ni mchezo wa Kundi B wa michuano ya Afrika kwa Vijana (Afcon) kwa mwaka 2017 nchini Gabon.
Timu zinaimba nyimbo za taifa.
Kwa hisani ya Saleh Jembe
=======
Mishale ya saa mbili na nusu za Tanzania, Serengeti Boys itashuka dimbani kupepetana na Niger kuhitimisha safari ya makundi huku ikihitaji ushindi ama sare ya aina yoyote kusonga mbele hatua ya nusu fainali.
Huku Tanzania ikihitimisha na Niger, Mali atahitimisha na Angola. Mpaka sasa Ghana ndio timu pekee ambayo goli lake halijatikishwa huku ikipachika wavuni mabao tisa, ni timu iliyo gumzo zaidi nchini Gabon. Aheri kukutana na Ghana fainali kupitia mgongo wa Guinea.
Fuatana nami mishale ya saa mbili tujuzane kitachojiri uwanja wa Porti Gentil.