I got youHichi kitu kimesahaulika na wazazi wengi "chakula cha ubongo wa mtoto"...
Wazazi wengi wamekuwa wakiwapa watoto wao mahitaji ya chakula,mavazi na maradhi , ndio wanahitaji hayo lkn unajua deni kubwa lipo kwenye ubongo..?
Swala hili wameachiwa walimu! Unadhani kati ya wewe mzazi na mwalimu nani ananguvu juu ya mtoto wako..?

Ubongo wake unahitaji maarifa ya awali kabisa ambayo ndio hutoka kwa mzazi.. Ktk kiumbe anaekuwaga huru ni mtoto! Usimfundishe mtoto kukariri mfundishe kuelewa.
Hakikisha unadili na ubongo wake atakapokuwa itakuwa rahisi kwake kufikiri,kuelewa pia kujifunza.
"Samaki mkunje angali mbichi"

Mtoto haitaji tu chakula,mavazi na maradhi bali anahitaji maarifa kutoka kwa mzazi ama mlezi,kupitia maarifa ya
Hili ni tatizo kubwa sana kwa sasa, usiwe na hofu maana wapo watakaozingatia ushauri wako.Tatizo si kuwaambia tu bali hofu yangu pia ipo kwenye utekelezaji huku wazazi wasasa wakiwa wameandamwa shughuli za kila aina huku watoto wakiachiwa beki 3..!
we unafikiria nini juu ya hili...?
wabejaHili ni tatizo kubwa sana kwa sasa, usiwe na hofu maana wapo watakaozingatia ushauri wako.
Wazazi wamekuwa busy sana wakihangaika na maisha na kusahau kuwa wanahangaika hivyo kwaajili ya hao watoto ambao kwa bahati mbaya sana wamewasahau bila wao kujua.
Watoto wanajilea wenyewe wakisaidiwa na mitandao ya kijamii, wazazi wamejisahau mnoo na madhara yake yanazidi kupamba moto.
Mie ni mwalimu na katika matatizo makubwa ya watoto ninayokutana nayo chanzo ni wazazi, hii lawama wazazi hatuikwepi in any way. Turudi tu tuwe wazazi kweli kweli.