Dogo acha uvivu,nenda kasome vitabu na ukafanye majadiliano na wenzako huko shuleni.Kama swali hilo shule nzima na walimu wako wameshindwa kukusaidia unadhani sisi ndiyo tuna muda wa kufanya maswali yako tu? Halafu acha dharau dogo,kwani Nyambari alichokiandika mle kakitoa wapi? Kasome encyclopedia ya history kama humtaki nyambari au lete hapa mapendekezo yako unayotaka tusome ili tukusaidie au kama unavijua vitabu vya kusoma umeleta hapa swali hilo la nini?