Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,401
Uoe sasa, usione fahari kuwajaza mimba wanadada na kuwakimbia
Mkuu unampa makavu live mheshimiwa chifu mtemi Rais mtarajiwa huyo ujue.Uoe sasa, usione fahari kuwajaza mimba wanadada na kuwakimbia
Itakuwa alifanyiwa figisu maana huyu mkuu anaonewa sana na wanamfuatilia .........Kumbe ulifukuzwa upadri ndio maana
Tuwekee hapa sie wenye visimu vya mchina link hazifunguki ....
Hata walioko Mirembe wanajiona wako sawa tu mentally. Wakioata access JF wataandika makorokocho hayahaya anayo yaandika Deogratius KisanduMkuu unampa makavu live mheshimiwa chifu mtemi Rais mtarajiwa huyo ujue.
Huwezi kutafuta kitambaa mkuu badala ya kufuta makamasi kwa mikono?