Historia yangu ya Mapenzi imefanya nikatulia sana ukubwani

Daby

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
33,648
75,735
Nilipokuwa kijana mdogo nimecheza saana. Nimedanganya, cheat, kugonga na kukimbia, kuumiza na kushauri matumizi ya P2 nilipoambiwa umenitia mimba.

Hili sio la kujivunia hata kidogo. Nikiwaga free nikaanza kuwazia kila mwanamke niliyewahi kumuumiza huwa natamani nyakati zirudi nimtreat tofauti.

Huyu mrembo tulisoma wote shule ya msingi. Nikiwa darasa la 6 yeye yupo darasa la nne. Alikuwa rafiki yake na mrembo ambaye alikuwa demu wangu. Baada ya miaka kadhaa tukajikuta kwenye mahusiano na hii ni baada ya mimi kumforce kwa muda mrefu. Alinipenda saana.

Siku anaenda shule alikofaulu nikamshusha kwa Bus tukaenda kufanya yetu. Wazazi wanajua mtoto yupo shule. Akapata ujauzito nikamshauri autoe kabla hajafika shule. Nipo form 6 hapo. Complications zilitokea nyingi ila alifanikiwa kuishi. Akafanikiwa kwenda shule.

Nikapata demu mwingine nikamsahau. Hivi ndivyo mahusiano yetu yalivyoisha ila hakukata Tamaa hadi siku tumekutana pasipo mimi kuonyesha any interest ndipo alipojua mahusiano yamekwisha. Kikukweli sikuhizi nikikutana naye naona aibu na namwonea huruma saana.

Hii ni moja ya stories nilizozipitia utotoni na zimenituliza saana ukubwani. Vijana wadogo kuweni makini saana na mambo mnayoyafanya utoton.
 
Nakushauri tu ndugu yangu kwa Usalama wako.....
Muoe huyo binti awe mke wa pili anakupenda kama aliweza kurithi jimbo la rafiki yake hashindwi kuwa bimdogo.
Mpunguzie maumivu nawe moyo upate Amani.
 
Back
Top Bottom