Historia ya wilaya ya Biharamulo mkoani Kagera

Jmujun

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
965
525
Habar wanajamvi,

Nahitaji kuijua hii wilaya kihistoria maana kuna habari zikisema wakati linaanzishwa jiji la Nairobi ndio wakati huo huo Biharamulo ikaanzishwa. Je, kuna ukweli kuhusu hili?
 
hivi kile Kijiji cha Katerero kipo Wilaya ya Biharamulo?
hawa watu wangeacha ukabila na kuhehedana wao kwa wao Watanzania wangeenda kuuendeleza Mji huo.
Mkoa wa kagerani wasomi sana lakini wanakuja kukosea hapo tu!
 
Back
Top Bottom