Habari wakuu, nawasalim woote!
Jana usiku (March 08) katika kuangalia angalia updates za WhatsApp status nilistaajabu baada ya kukutana na video inayomuonesha (SAMAKI MTU) akiwa ufukweni na watu walikuwa walikuwa wamemzunguka ili kumshangaa! Nilipomuuliza aliyeweka hiyo status kwaajili ya ufafanuzi; alinambia Ni Kenya hiyo. Sababu ya kuleta uzi huu ni angalau kufahamishwa kama huyu SAMAKI MTU ni halisi, au is beyond uhalisia (Imani za giza) zimehusika? Au hata kama sio beyond uhalisia, historian ya SAMAKI MTU imekaaje wakuu?
Kama SAMAKI MTU ni halisi basi ungekuwa Ni busara sana watu wangefanya maamuzi ya kumrudisha kwenye maji muda mfupi tu baada ya kumshangaa (Nawaza tu)...
View attachment 2181195
View attachment 2181196