Historia ya Paul Makonda

watu washamba kama makondaaafai kuwa viongozi
 

sasa kenge kama wewe usie na kazi zaidi ya kushnda humu jf hata ucpo mpenda makonda unadhani atapungukiwa na nini?
 
Sitta alimuadopt kamsomesha hadi MUCCOBS. Aliwahi kuiba simu BMK kabla hajampiga kabari mzee Warioba pale Ubungo na hatimae kuzawadiwa uDC kino kwa kazi nzuri
 
Asipojifunza kutulia na kumudu hasira zake, hataweza kufika mbali kisiasa....atatumiwa na baadae ataishia walikoishia wengine wengi....Frustations!!!
 
Wazazi wake + malezi + kazi alizokwisha fanya itawapa picha kua ni mtu wa naamna gani? na je serekali ina vyombo vya kuchunguza wafanya kazi kabla ya kuteuliwa, na vipo vitakua na udhaifu kiasi gani? na je chama anachotoka kina maadili kiasi gani, kama kuna anayejua mririko aweke
 

mkuu wa mkoa anatamani sana kuwa mbunge ubunge upo juu
 
.Acha jazba unafikiri wanaweza kuwafunga watu wote wa kinondoni au wakorofi wa nchi hii.inahitaji busara ya hali ya juu unapowaongoza watu.sio kama mchunga mbuzi mluzi tu mbuzi wanageuka.take care mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…