Historia ya Paul Makonda

Nchi Hii Kwa Ilivyo Sasa Inabidi Kutumia Style Ya Makonda Kwanza Ili Watu Wanyooke Na Wajue Kuna Serikali. Wako Vijana Na Watu Wazima Walioambukizwa Ujuha Na Viongozi Hasa Wa Kisiasa Wasioheshimu Mamlaka. Hawa Ni Kudeal Nao Hivihivi Kwanza Baada Ya Mwaka Watakuwa Wamerudi Kwenye Mstari
 
kweli nakumbuka kwenye bunge la katiba alisha ambaa na simu ya mjumbe mwenzake
 

Hahahaaaaaaaaaaaaaa! Du!
 
tunasubiri cv ya huyu bwana makonda ametokea wapi na amefanyia nini taifa hadi kufika alipofika leo.
 
anainamia wanume wenzake kuwafunga kamba za viatu
 
Tuwekeeni kale kapicha anafuta viatu vya Riziwani Kikwete akazawadiwa uDC
 
Habari wanajamvi;
Naomba tusaidiane kujua background ya huyu Mkuu wa Wilaya yetu ya Kinondoni.
Tujue kidogo maisha yake, elimu yake alikulia wapi aliishi vp uko alikotoka na mengineyo.

Naomba msaada jaman.

Amebobea katika FITNA, KUJIKOMBA na KULAMBA VIATU VYA MWANA WA MFALME MSTAAFU
 
Ni hatari sana hii,inawezekana kuna kitu zaidi ya kufuga viatu.
 
sasa mtu wa aina hii anapewaje ukuu wa wilaya anaweza akawa anaishiwa naye pumzi sibure

Halafu hao wamepewa mamlaka ya kufungisha ndoa!
Kama kijana wako anaoa na mfungishaji wa ndoa hiyo ndio huyu bora uahirishe tuu kwani kijana wako anaweza Ku adopt tabia mbaya na kuja kuwa mume -----
 
MAKONDA MTAMPENDA TU! Mlikuwa hamjui DC ni Mkubwa kupita Mbunge.... Hongera MAKONDA kaza uzi...wakileta UJINGA tupa LUPANGOooo........ WAKIWA hao.....
Kuhusu mkubwa nani kati ya DC na mbunge - hiyo equation haiko wazi; wawili hao wote wanatoka kwenye mihimili tofauti ya dola - Serikali (Makonda kama mkuu/rais wa wilaya), na Bunge (Kubenea kama mbunge/mwakilishi wa jimbo la wananchi).
Kamwe huwezi kuwaweka hao pamoja na kusema nani mkubwa - wanatoka kambi tofauti zenye utendaji wenye uhusiano tu na sio ulinganifu.
Cha maana hapa kwa hao wawili ni KUHESHIMIANA; kila mmoja afanye wajibu wake vema kwa kadiri ya majukumu yake (JDs)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…