yaan husihangaike kabsa binti niko hapa bonge la hansam
naiman utakuwa na hisia nami, ukitaka hata picha mi nitakutumia
nitakufanya ujihisi kama uko katkat ya bustan ya eden, huku nikihakikisha natulza hitaj la moyo wako
ukiwa salama mikonon mwangu, nikikupaisha ktk kilele cha maraha kisichowah kukaribiwa na msichana yeyote ktk dunia hii!
Nakuja pm tubadirishane namba mtoto mzuri..tena ni kama bahat maana tuanaendana sana ktk historia ya kimahusiano