Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Kaa nae mueleweshe.Kama we ni wakuaminika atakuelewa tu.
pole mwaya, tafta councelling! huenda una tatizo la kisaikolojia!
labda kapoteza mvuto... mwambie a- spice up la sivyo mpige chini
pengine upendo kwake umepungua au umeenza kupenda kwingine,
Ila una visa!Nitakuja nikushauri!
Habar zenu wanajamvi wenzangu, nimekuwa kimya kwa muda sasa kwa sababu ya majukumu. ushauri wenu ni muhimu sana kwangu. Ni mwezi mzima umepita tangu nikutane kimwili na wangu laazizi. tatizo ni kwamba baada ya huo mwez kupita of cos nilikuwa nimemmiss sana na pia nilikuwa nina hamu naye sana cha ajabu ile tuna-do cjisikii vizur yan hisia zote ziliisha mpk akafikiri may be nlikuwa namcheat. to be honest cjamcheat kwa kipnd chote. yan nimepoteza hisia za kimapenzi kabisa. mpk naichukia hii hali.msaada plz
yeye hana tatizo hata kidogo na wala hajapoteza mvuto tatizo lipo kwangu nimepoteza hisia
Habar zenu wanajamvi wenzangu, nimekuwa kimya kwa muda sasa kwa sababu ya majukumu. ushauri wenu ni muhimu sana kwangu. Ni mwezi mzima umepita tangu nikutane kimwili na wangu laazizi. tatizo ni kwamba baada ya huo mwez kupita of cos nilikuwa nimemmiss sana na pia nilikuwa nina hamu naye sana cha ajabu ile tuna-do cjisikii vizur yan hisia zote ziliisha mpk akafikiri may be nlikuwa namcheat. to be honest cjamcheat kwa kipnd chote. yan nimepoteza hisia za kimapenzi kabisa. mpk naichukia hii hali.msaada plz
Nyakwara antony.!! yaani mjukuu wa antony ana mambo.....Kuna kipindi alikuja hapa na malalamiko ya kuumizwa kwenye mapenzi................Baada ya mambo kunyooka naona tena tatizo jingine - pole.
Sometimes Mapenzi mit sometimes mapenzi tek.......take easy,punguza wasiwasi......Kama unataka "apeleka" sema!
Ongeza juhudi kwenye mambo mengine kama, mazoezi, kutafutata fedha na kula vizuri. Mambo yote yakiwa safi, hisia za ngono zitakuja zenyewe.