Huku gaza wakiuliwa 20000+ hamasi anawachekaHamasi anawacheka kwa kudai wamegundua tunnel, anawambia hio tunnel kazi yake ilisha tumika tarehe 7th October, yani hilo tunnel hawalitumi kazi yake ilisha kwishaaa na walisha timiza haja zao, message kwa kiarabi, kiyahudi na kizungu 😄
View: https://youtu.be/3wUqajBxZ4E?si=vlFlyCCNlTpSqxqh
Nawatamtia adabu kweliWazee wa kazi leo wanaizungukia red sea kwa mbwembwe zote wana mgoja adui wa madui America wamtie adabu.
View: https://youtu.be/Yv5Ve7U_tyI?si=SQYckT91rdUjfDX6
HeheeeeeeHata vifaru venu mnavyo viita sijui kitanda cha Mungu mlituambia kuwa havipigiki kwa silaha yeyote lakini leo hii kila mtu anaona kinacho endelea.
Propaganda huwa zina mwisho.
Awamu hii wameingia cha kike mafala sana hawa.Heheeeeee
Halaf walivyokua na mbwembwe na dhambi mbwa hawa wa kizayuni na washirika wao wa jf eti kitanda cha Mungu dah
Ila hamas wametuonesha kama yale nimavyuma vyuma tu yaliochangamka
Maana wanayapiga viberiti saafi kabisa tena kwa baruti
Safari hii walidhania pia watapigwa kwa mawe na manati kama miaka ile ya giza
Hamas wameionesha dunia kama mazayuni hamna kitu
Mleta mada kazungumzia battery ya Iron Dome. Unaijua battery wewe, au unadhani amezungumzia launcher moja?Kwani tatizo liko wapi hapo mkuu? Wewe unajua Iroin dome air defense systems ilikuwa umbali gani kutoka mipakani mwa Gaza na zipo ngapi, hivi una uhakika ni teknolojia hipi iliyo tumika kushabulia Iron Dome - no research no comment, mara nyingi uwa unakereka sana mtu aki- comment chochote kuhusu Israel au Uncle SAM!!
Iron Dome ina success rate ya 90%. Nitajie any air defense system duniani yenye hit rate kubwa zaidi ya Iron Dome, itafute popote pawe China, Russia, Iran, Turkey, US au wapi.Labda nikuhoji swali dogo na ni wapi hasa Iron Dome iliwahi kuonyesha umahili wake katika masuala ya Air Defense dhidi ya Rockets mahili za kileo zaidi ya kuenyeshwa na home made vijiroketi vya Hamas na Hazibolla? - Iron Dome, my foot.
Artillery sio kombora bali ni mzinga, kuna tofauti sana kati ya missile na rocket. Hata artillery iwe rocket artillery bado iko limited tofauti na missile.Just imagine for a second - We arterially ya Iranian made inasambaratisha highly hyped "Iron Dome" unafikiri ni kombora hilo la Iran ni la kawaida kweli?? Msiwachezee Wairan nawambieni.
Hizo ni rockets, sio artillery shells tunazosema hapa. Sasa ulitaka Marekani ifanyeje wakati rockets zimepiga kwenye rami na hakuna majeruhi wala vifo wala uharibifu wa zana yoyote ya Marekani.We unafikiri kwa nini makambi mawili ya kijeshi yalipo shambuliwa na roketi za Iran na kujeruhi wanajeshi wengi wa USA mbona Merikani ilikaa kimya,
Hayo ndio maelezo ya artillery za Iran kushambulia battery ya Iron Dome?Wairan vile vile waliwahi kuishusha Drone ya kijasusi ya teknolojia ya hali ya juu wakaipeleka kwenye maabara na kuifanyia uchunguzi wa kiufundi, baada yamuda na wao wakaunda ya kwao , labda hapa nirudie tena kwa kusema kwamba Drone hiyo nasema ilishushwa kisayansi hawakuitungua, Drone nyingine ya teknolojia ya kawaida ilitunguliwa tu na jeshi la Iran, katika matukio hayo yote mbona sikuona Merikani analipiza kisasi kwa kuishambulia Iran??
mnataka kubaki wenyewe ili mchambishane vizuuuri virunguIsrael inatumika na Mungu kutuondolea uchafu wa moody duniani. Watafanikiwa.
Nani alisema vifaru havipigiki?Hata vifaru venu mnavyo viita sijui kitanda cha Mungu mlituambia kuwa havipigiki kwa silaha yeyote lakini leo hii kila mtu anaona kinacho endelea.
Propaganda huwa zina mwisho.
North Gaza ni magofu mzee, pale ni vifusi vya zege na minofu ya watu chini. Sijui nani mwenye hasara kubwa sasa kati ya Israel anayepoteza fedha na Gaza inayotimuliwa kwenye makazi. Anayeomba vita iishe anajulikana ni Hamas na Wapalestina, ubabe uendelee si Israel anakomeshwa basi aendelee kukomeshwaAwamu hii wameingia cha kike mafala sana hawa.
Mpaka sasa uchumi wa Israel umesha poteza $110 billion kwenye uchumi wake.
Usilinganishe but nadamu na majini,majini ni malaika wa shetani waliolahaniwa na Mungu.sisi binadamu ni wenye thamani hivyo tunapaswa kumwabudu Mungu aliye mbinguni.Binadamu na Majini wako walio kufuru kama wewe na Shetani.
Na wako walio kuwa Majini Waislamu kama vile Binadamu walio Waislam.
Tatizo nyie mnadhani majini wote kama nyie 😄
BinadamuU
Usilinganishe but nadamu na majini,majini ni malaika wa shetani waliolahaniwa na Mungu.sisi binadamu ni wenye thamani hivyo tunapaswa kumwabudu Mungu aliye mbinguni.
R na l. Huwezi kuwa na akili. Na huwezi kuelewa lolote kama r na l zinakusumbua.Uchafu ni kubariki ndani ya nyumba za ibada wanaume kwa wanaume kufilana.
Waarabu ndio waasisi wa huo ushetani.mnataka kubaki wenyewe ili mchambishane vizuuuri virungu
Uziri wako ww ni bingwa wa kuyakataa maneno yako mwenyewe.Nani alisema vifaru havipigiki?
Mpaka sasa vifaru vingapi vya Leopard vimepigwa? Vitatu.
Watu wangapi kwenye hivyo vifaru wamefariki? Sifuri.
Sasa huoni performance ya Leopard ni kubwa sana kuliko ya T series za Russia? Urusi vya kwao vinafanya tossing competition, kikipigwa kinachanika turret inaruka juu mita kadhaa angani. Hapo ukibahatika utaokota mkono wa crew member.
SI kweli? Wako ambao ni Waislam, wakristo, hindus, bhudas majini walikuwepo kabla ya binadamu hata shetani alikuwa ni jini hata alifikia level ya juu kama Malaika badaye ndio akalaniwa na Mungu akawa Shetani.U
Usilinganishe but nadamu na majini,majini ni malaika wa shetani waliolahaniwa na Mungu.sisi binadamu ni wenye thamani hivyo tunapaswa kumwabudu Mungu aliye mbinguni.
Mkuu punguza hasira kama kuuwa hovyo watu na kubomoa majumba ndo kushinda vita basi alitakiwa mpaka sasa awe amewashinda hamas.North Gaza ni magofu mzee, pale ni vifusi vya zege na minofu ya watu chini. Sijui nani mwenye hasara kubwa sasa kati ya Israel anayepoteza fedha na Gaza inayotimuliwa kwenye makazi. Anayeomba vita iishe anajulikana ni Hamas na Wapalestina, ubabe uendelee si Israel anakomeshwa basi aendelee kukomeshwa
Lo!kwahiyo wapo majini ni viumbe wema na ni marafiki wa binadamu?SI kweli? Wako ambao ni Waislam, wakristo, hindus, bhudas majini walikuwepo kabla ya binadamu hata shetani alikuwa ni jini hata alifikia level ya juu kama Malaika badaye ndio akalaniwa na Mungu akawa Shetani.
Kabla ya hapo shetani alikuwa mtu wa ibada sana na hio yote alidhani atamdanganya Mungu, ili amuweke level yake au chini yake kumbe hajui kwa Mungu hata hakifichiki kitu hata ndani ya moyo wako.
Mungu akafanyia mtihani amsujudie Adam akasema mimi bora kuliko Adam na akaendelea kusema mimi nimeumbwa kwa moto huyu kaumbwa kwa udongo.
kwahiyo roma wakaiga kisha wakabariki mukawa wabarikiwa nadhani itakuwa hivyo au sio m.barikiwaWaarabu ndio waasisi wa huo ushetani.
MKUU KWELI KICHAPO CHA GAZA KIMEKOLEA......Israeli inapitia kipindi kigumu wanaonja joto ya jiwe hamna kupumua kule Houthi huku Hisbollah akitaka kupumua anakutana na Hamas amemkalia kooni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji375][emoji375][emoji375] akitaka kutabasamu anakutana Iran anatest Hypersonic
[emoji298]️BREAKING
Iranian Basir precision artillery shells have entered the game
Hezbollah has targeted two Iron Dome batteries north of Capri with Basir artillery shells.
Iron dome is useless against BasirView attachment 2846400View attachment 2846401
Wewe hz habari umeezitoa wapi???SI kweli? Wako ambao ni Waislam, wakristo, hindus, bhudas majini walikuwepo kabla ya binadamu hata shetani alikuwa ni jini hata alifikia level ya juu kama Malaika badaye ndio akalaniwa na Mungu akawa Shetani.
Kabla ya hapo shetani alikuwa mtu wa ibada sana na hio yote alidhani atamdanganya Mungu, ili amuweke level yake au chini yake kumbe hajui kwa Mungu hata hakifichiki kitu hata ndani ya moyo wako.
Mungu akafanyia mtihani amsujudie Adam akasema mimi bora kuliko Adam na akaendelea kusema mimi nimeumbwa kwa moto huyu kaumbwa kwa udongo.
Unaonesha ujinga hadharani.hakuna Mungu ambaye atatuma watu kuwauwa watoto na kinamama ambao hawana hatia.mpka Papa kasema Israel wanafanya ugaidi ila nyie wajinga wachache hamuoni ukweli.Israel inatumika na Mungu kutuondolea uchafu wa moody duniani. Watafanikiwa.