Hapa kuna kitu,post imewekwa tarehe 3 December na wewe umejiunga tarehe 3 December,na kuipigia Debe kampuni ya sigara.
Haya ngoja tusubiri mwingine,maana Ugoro kaishafanya yake
Lakini mjue pia kwenda Ocean Road Hospital kutoa sadaka ya tiba kwa wagonjwa wa Cancer,maana na nyie mnahusika kudhulumu afya za wenzenu.Mtaulizwa mbele ya mungu,msiangalie pesa tu