Hiphop Fans

Ben Jack

Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
66
Reaction score
5
Nataka kujua Kati ya
Tamaduni Muzik na
Weusi company lipi n moja ya Label bora ya Muzki wa Hiphop Bong
 
Mmh.....Nahisi swali lako utapata majibu mazuri endapo ungelitupia Facebook..........byeee.
 
Najua unataka uambiwe hao jamaa zako unaowapigia debe humu kuwa wako juu lkn mimi kwa mtazamo wangu naona wote WACHOVU tu, waganga njaa tu hao!
 
weusi kitambo kwenye game ...vitu wanavyoviandika wakina one sa ivi weusi walishaviandika kitambo...ila fresh wote wakali
 
Weusi jomba wako juu xana! gimme a break,niache kidogo! weusiiiiiiiiiii.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…