Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,441
Mashabiki wa Dre ni wanajifanya hawajui (au ni kweli kwamba hawajui) kwamba pale Aftermath records kuna producers kibao walifanya na wanafanya kazi nyuma ya production za Dre na hawapewi credits zote zinaenda kwa jamaa... why?...kuna jamaa anaitwa Storch yeye alikua Aftermath anapiga piano lakin zikitoka hits credits zote kwa Dre!! Kuna vipaji kibao tuu nyuma ya Dre, watu kama akin Mel mann ila hawa mashabiki wa Dre badala ya kuleta hoja wanaleta kejeli eti 'umekula maharage ya wapi' Mara uache kula chakula kilichochacha9th wonder,Appolo Brown.Dre kuwa na team ya watu nyuma yake wanaomsaidia katika production hii unaichukuliaje??
Huwezi kufanya kilakitu pekeyako, hata huyu Majani tunayemsifia bongo wako watu wengi nyuma yake walikuwa wakimsaidia9th wonder,Appolo Brown.Dre kuwa na team ya watu nyuma yake wanaomsaidia katika production hii unaichukuliaje??
Premier anafanya peke akeHuwezi kufanya kilakitu pekeyako, hata huyu Majani tunayemsifia bongo wako watu wengi nyuma yake walikuwa wakimsaidia
true, kwenye still dre,Dre alifanya drums na mixing tu, lakini credits zote kwakeMashabiki wa Dre ni wanajifanya hawajui (au ni kweli kwamba hawajui) kwamba pale Aftermath records kuna producers kibao walifanya na wanafanya kazi nyuma ya production za Dre na hawapewi credits zote zinaenda kwa jamaa... why?...kuna jamaa anaitwa Storch yeye alikua Aftermath anapiga piano lakin zikitoka hits credits zote kwa Dre!! Kuna vipaji kibao tuu nyuma ya Dre, watu kama akin Mel mann ila hawa mashabiki wa Dre badala ya kuleta hoja wanaleta kejeli eti 'umekula maharage ya wapi' Mara uache kula chakula kilichochachaunaangalia comments zao unaamua kutemana nao tuu
Dre is a good producer but sio kwa kiasi hicho mnachotaka aonekane
Hujui MuzikiNdiyo.
Diwani ya Maalim..... hahaha.anajikuta Rakim nae!Mbona nash mcee hayupo??
Miongoni mwa hao Ni Soggy Doggy Anter!pika mambo matamu sana kwenye album kama la Ngwea lile ila misifa yoote kwa majaniHuwezi kufanya kilakitu pekeyako, hata huyu Majani tunayemsifia bongo wako watu wengi nyuma yake walikuwa wakimsaidia
Jaymo, Ludigo, Bizman, n.kMiongoni mwa hao Ni Soggy Doggy Anter!pika mambo matamu sana kwenye album kama la Ngwea lile ila misifa yoote kwa majani
Kuna huyu Kendrick Lamar anapaishwa sana ingawa mimi binafsi namuona wa kawaidaKuna kijana anaitwa J Cole. Aisee mm huyu mtu namkubal sana yaan kwangu mm huyu yuko kwenye top 5 ya GOAT.
Ila najua nitatofautiana na weng ila cku huyu mwana akidanja Ndó itajulikana ukubwa wake kama nipsey
#coleworld
Ndio maana hajawa mkubwa kama DrePremier anafanya peke ake
mkubwa financially au uwezo??Ndio maana hajawa mkubwa kama Dre
Jaymo, Ludigo, Bizman, n.k