Habarin za wakat huu wana Jf
Kama una ndgu yako anatarajia kujiunga na Muhimbil University bac ningependa kuwaqumbuxha yafuatayo:
1) Ondoa dhana ya kwmba chuo bata, kwa muhas utaxoma kama advance. Vpnd Kuanzia saa2 asbh had saa11 jion ,hakuna utan
2). Boom n pexa ndogo sana so jtahd kubalance matumz kama unajua huna back up ya watu wa kukuxaidia. Ucje ukashndia mkate na maji
3) Shule n ngumu sana so jtahd kuwa serious mwanzon kwan ukiwa na sup mbil sem 1 uwezkano wa kudisco n mkubwa.
Note: Ukitaka GPA kubwa na kusoma kwa kurelax nenda private eg KCMC Bt kma unataka kuxoma ktk mazngira magumu Karbu MUHAS.