Abercrombie13
Member
- Jul 14, 2018
- 65
- 120
Mkuu hivi hawa waliochaguliwa Diploma na Serikalini yaani tamisemi ya Nursing And Midwifery, inakuajee kwa maana ya Accommodation zao na vipindi vyao hapo chuoni
Je kuhusu hostel vp mkuuDiploma wanapangiwa hoxtel zao alaf k2 kngne diploma wana majengo yao coz wako institute, na bachelor wapo university na n location tofaut.
π π π π πHizi tabia za udsm zimeanza lini Muhas???
Zimeanza leo mkuuHizi tabia za udsm zimeanza lini Muhas???
Kama ndo uko MUHAS afu unaandika hivi basi taifa lina mataputapu mengi sana kwenye sekta zake. Kuwa wa kiume!Diploma wanapangiwa hoxtel zao alaf k2 kngne diploma wana majengo yao coz wako institute, na bachelor wapo university na n location tofaut.
EASTC saa mbili asubuhi mpaka saa moja jioni class tuuHabarin za wakat huu wana Jf
Kama una ndgu yako anatarajia kujiunga na Muhimbil University bac ningependa kuwaqumbuxha yafuatayo:
1) Ondoa dhana ya kwmba chuo bata, kwa muhas utaxoma kama advance. Vpnd Kuanzia saa2 asbh had saa11 jion ,hakuna utan
2). Boom n pexa ndogo sana so jtahd kubalance matumz kama unajua huna back up ya watu wa kukuxaidia. Ucje ukashndia mkate na maji
3) Shule n ngumu sana so jtahd kuwa serious mwanzon kwan ukiwa na sup mbil sem 1 uwezkano wa kudisco n mkubwa.
Note: Ukitaka GPA kubwa na kusoma kwa kurelax nenda private eg KCMC Bt kma unataka kuxoma ktk mazngira magumu Karbu MUHAS.
Habarin za wakat huu wana Jf

Ugumu au urahisi wa masomo ni mtu mwenyewe kuamua, muhas hakuna lolote cha kuwatishia watu kiasi hicho wewe kama umekutana na ugumu basi amua pawe rahisi kwako, hakuna cha kutisha hapoHabarin za wakat huu wana Jf