Kwa hiyo Chadema-JF, mmejifariji kwa kutoitaja Tanzania?
ms sasa umefurahi nini? jinsi kina Lowasa , Mkapa wanavojilimbikizia mali ?au jinsi walivyo juu ya sheria sio?As if wao wanaishi Rwanda teh teh teh
Kwa mibwege kama wewe kutakuwa na maendeleo kweli,swala la maendeleo ya nchi yetu sio la chadema na Dr slaa,ni la kwetu wote regardlss of itikadi za chama chako,kwa bahati mbaya au nzuri chama kilicho madarakani ni CCM,so ni lazima tukikosoe ili kiweze kuleta maendeleo kwa manufaa yetu sote,sio unakaa kumbeza Dr slaa.Kwani Bi.Hillary Clinton alivyokuja Tanzania si nasikia alienda Kinondoni manyanya mtaa wa ufipa makao makuu ya Chadema, kuonana na a loser Dk W. W Slaa
Acha uongo, kwenye redsure for the USA through AGOA the door is open to any country ..but she put up more response into countries which they showed constructive straitegies and measures to overcome development. I'm sure leo hii tupewe the same fund zaidi,..ya Rwanda or any else..we should stil do nothing..!kwani iye fedha in be corrupted hata kabla haija be matured..!..a.k.a washaichukua kupitia so clled sitting allowance..!cha ajabu sioni wanachofaidi..tunapokaa kwenye follen eti kwa sababu barabara iliyetakiwa imekwishajengwa within a deadline...imetelekezwa kisa waziri or mkurugenzi ana 20% thereafter hakuna atayemuliza mkandarasi na hapo watafukiafukia imeshatoka.....ivi
Wanajamii tujiulize.... ni kweli wote au wengi wetu hatujui nini suluhu yake nini?
Ivi ni kweli wote au wengi wetu hatukuipigia kura ccm tuliipigia chadema...au chama kilichoonyesha nia ya kupewa dhamana?
Hii aina ya kuongoza nchi kupitia kugawa makundi na kuwalinda eti hawa...kundi la epa...wale la dowans ..kule wa rada..ninawaangalia tu na kukaa na kuwasubiri watulete maendeleo wakati huo utata wao utakapokishwa ili twafamu hauwezi kwisha..?even after a centuary i'm sure never to be solved..!
kwa hesabu ya haraka na nyepesi ccm na maendeleo tuwe wakweli hatutoki..!..kwa sababu wao siku zote wanadaiwa kwa kudaiana so kila wakati wanatafuta kwanza jinsi ya kutulizana the ndiyo watuongozee nchi?...when?..Zitto big up?keep it up!
Kwani Bi.Hillary Clinton alivyokuja Tanzania si nasikia alienda Kinondoni manyanya mtaa wa ufipa makao makuu ya Chadema, kuonana na a loser Dk W. W Slaa
Pamoja na kupigia debe ziara yake alipokuwa hapa mama huyu, na kuwa ameamua kufuta umasikini, Bi Clinton aweka wazi kutokuridhika na hatua za kimaendeleo zilizofikiwa na Tanzania.
Akitoa majumuisho juu ya ziara yake katika nchi kadhaa za Africa, Hillary alitumia muda mwingi kuisifia na kuipongeza Rwanda, kwa hatua kubwa za maendeleo zilizofikiwa, hatua ambazo zimeipeleka nchi hiyo kuelekea kujiondoa katika nchi masikini. Alizitaja nchi nyingine zilizopiga hatua kimaendeleo kuwa ni Zambia, Mali na Ghana. Hakuitaja kabisa Tanzania katika nchi zilizoonyesha juhudi za kupiga hatua kimaendeleo
Source; ITV
Mkuu, point kwako mpaka tumsifie Dk Slaa? Halafu nitafute umaarufu wa nini wakati wote humu JF, tupo undercoverSijawahi kuona hata siku moja ume post point humu. ni upupu from A-Z. Unajitafutia umaarufu wa kijinga.