Aventus JF-Expert Member Joined Mar 8, 2013 Posts 2,011 Reaction score 2,181 Apr 2, 2017 Thread starter #21 kisikiji said: Kumbe sikuona peke yangu, utaokoaje bando ilihali hujapiga wewe??!. Haitakaa itokee sim Nipige Mimi bando uokoe wewe. Click to expand... Ni ajabu sana Th los proffcnal said: Me pia hayo maongezi yananikera bora waweke Alarm tu. Click to expand... Sasa utasikiaje saut nyororo ya wadada pale tigo Shida na raha said: Kushikiria = kushikilia Click to expand... Arikua ni chacha mura Perpendicular said: Wameleta mdada mbadala wa alarm . Click to expand... Hatutaki kumsikia Engare said: Hii kitu kwa kweli tigo wanaboa Click to expand... So true wambura marwa said: Lakini yote kwa yote sio lazima kukumbusha wao majukumu ya ni kuhakikisha kama unapiga simu una salio haijalishi ni dakika ngapi prepaid unapangiwa tena matumizi wao wasubiri dakika ikate kwani ni bure?. Click to expand... Wananikumbusha dk zimeisha wakati najua wajingawatu said: Ile ni notification kutoka tigo Click to expand... Nataka ni ifute kma ni notification
kisikiji said: Kumbe sikuona peke yangu, utaokoaje bando ilihali hujapiga wewe??!. Haitakaa itokee sim Nipige Mimi bando uokoe wewe. Click to expand... Ni ajabu sana Th los proffcnal said: Me pia hayo maongezi yananikera bora waweke Alarm tu. Click to expand... Sasa utasikiaje saut nyororo ya wadada pale tigo Shida na raha said: Kushikiria = kushikilia Click to expand... Arikua ni chacha mura Perpendicular said: Wameleta mdada mbadala wa alarm . Click to expand... Hatutaki kumsikia Engare said: Hii kitu kwa kweli tigo wanaboa Click to expand... So true wambura marwa said: Lakini yote kwa yote sio lazima kukumbusha wao majukumu ya ni kuhakikisha kama unapiga simu una salio haijalishi ni dakika ngapi prepaid unapangiwa tena matumizi wao wasubiri dakika ikate kwani ni bure?. Click to expand... Wananikumbusha dk zimeisha wakati najua wajingawatu said: Ile ni notification kutoka tigo Click to expand... Nataka ni ifute kma ni notification