Hili tatizo la taya linaitwaje na solution yake ni ipi

Hili tatizo la taya linaitwaje na solution yake ni ipi

Drone Camera

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
14,177
Reaction score
14,156
Habari madaktari na wana jf wote kwa ujumla
Mwaka Jana nilipata tatizo la taya yaani wakati nilipopiga mihayo taya ya juu na ya chini ziligoma kukutana hivyo mdomo wangu ukagoma kufunga...nikahangaika hangaika pale ukafunga kama baada ya dakika tano hivi....
Jana sasa ndo ilikuwa shughuli...nimejinyoosha nilipotoka usingizini nikafungua mdomo but kuurudisha katika hali yake ndo kimbembe....uligoma kabisa...mpaka ilinibidi niende sekou toure saa sita usiku....sikumkuta dakatari wa meno ila bahati alipigiwa simu akaja baadaye...bila hivyo ningeshinda hadi asubuhi jambo ambalo lilikuwa gumu kiukweli......
Sasa waheshimiwa nilitaka nijue naliepukaje hili tatizo na je in case likinitokea nafanyaje ili kulitibu...
Regards
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom