Hili pozi gani jamani khaa

Anafanya zoezi,unaweza kujiuliza ni zoezi gani?
Anaruka kwa kupanua miguu na mikono kwa pamoja na kuirudisha kwa pamoja.(nimefikiri tu)
Ushahidi ni mavazi yake track, raba na T-shirt na mazingira yanaruhusu.
Alafu nadhani itakuwa sehemu za baridiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…