hili ni tatizo ganii

Dornatero

Member
Feb 26, 2012
15
8
wapendwa kwa muda wa mwaka mmoja sasa nasumbuliwa na aina flani ya vipele kama vile vya baridi katika mikono yangu ,ktk jua na baridi vipoo. Nimejaribu kutumia medicated soaps and jelly mara kadhaa. Nikitumia dawa vinapotea nikiacha tu haizidi wiki hivyooo. Haviumi wala haviwashi ila vinaninyima ma confidence kujiachia na T-shirts na mashati ya mikono mifupi. Pia ktk viungo magotini, viwiko na maeneo kama hayo kumekata ile synovial fluid nikiwa mazoezini inakua kama nakata vijiti kwa hiyo milio inayotoka.its a real ishu so dont jock i accept experience and professionalism. asanteni.
 
Mkuu, utakuwa una upungufu wa maji mwilini. Unakunywa maji kasi gani kwa siku? unafayana mazoezi mara ngapi kwa wiki?
 
Back
Top Bottom