Hili ni Swali lenu wale wataalam wa Music(Nota)

Vw Jr

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
377
338
Habari za muda huu Wakuu...
Heri ya sikukuu ya Pasaka

Nipo hapa kwa jambo tu kuwaulizaaa wale wajuzi na watalaam wa muziki na Pianists.. ..... Nimekuwaaa nikijulizaaa sanaaaa katika hiliii swala bado sipatii jibu,,,,


Katika Suala la Music kuna aina mbiliii kwa uelewa wangu,,, kunaaaa CLASSICAL MUSIC(solved) na hiii tunaitaa CHORD(unsolved). Swalii langu n kwambaaa ipii n boraaa zaidi katii ya hizi mbili ukizingatiaaa zotee zinaletaaa mzikii mzurii Pindi zitumiwapo,,,,,

NAWASILISHA KWENU....
IMG-20160717-WA0023.jpg
 
Back
Top Bottom