The Boss JF-Expert Member Aug 18, 2009 49,111 115,917 Oct 18, 2012 #1 Kuchambwa au kuchamba naona linatumika mno na kina mama hasa kwenye mipasho je ni neno sahihi nje ya toilet? na usahihi na maadili yake kutumika ukoje?
Kuchambwa au kuchamba naona linatumika mno na kina mama hasa kwenye mipasho je ni neno sahihi nje ya toilet? na usahihi na maadili yake kutumika ukoje?