shabhibhii nafwa
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 300
- 148
Wadau wa mziki hapa nchini kuna wanamziki wengi vilevile na wasanii kibao ambao ndo wengi zaidi. Kiboko yaoni kundi linaitwa WAMWIDUKA BAND wanamziki wa tanzania wasiojua mziki wakasome kwa hawa watoto.
Ali kiba, Diamond na wengine mkajifunze mziki kwa hawa watoto sitanii huu ni ukweli kabisa, huamini cheki show zao kule SAUTI ZA BUSARA ZANZIBAR ukibisha utakuwa unalala na bundi, vilevile mabishoo angalieni nyimbo yao inayotwa kilingeni.
SERIKALI mngewapeleka wamiduka kule misri wangewawakilisha vizuri kuliko hao jamaa zake amunike