Kaka nahisi una tatizo kubwa sana katika kuchambua takwimu.Unaposema vijiji havina vyoo unapaswa kusema ni vijiji vingapi kati ya vingapi.Unapaswa pia kusema nini kimefanyika na nini kinafanyika.Huwezi kusema tu shule hazina madirisha au watoto wanakaa chini.Sema pia wangapi kati ya wangapi na nini kinafanyika.