omtiti
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 1,022
- 1,590
Ni mbaya sana kufikiri kwamba, unaposhinda shauri lako ,mahakama imetenda haki, na unaposhindwa mahakama inaingiliwa.
Kuna wakati ukipoteza mwenzio anapata na ukipata mwenzio anapoteza.
Hii ndio kanuni ya haki.
Tuache upotoshaji,ngoma ni mbichi ,ukishangilia ushindi mwenzio anahuzunika kushindwa ,jiandae kuhuzunika mwenzio atakaposhinda
Mpambano unaendelea tukutane siku zijazo kupeana mrejesho tena