Hili nalo ni jipu linahitaji kutumbuliwa!

Mbwa dume

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
5,868
10,044
Kuna hii tabia ya wadada kutokupenda asili yao unamkuta mdada amejitahidi kavaa vizuri na amependeza ila tatizo kichwani!!!
Mdada amejiwekea minywele bandia iwe amesuka rasta au weavingi sio siri zina harufu mbaya mpaka zinakera!
Mdada wa hivi hata ukiwa nae kwenye 6×6 huwa ni kero na hiyo minywele bandia hutoa harufu utadhani mnyama fungo!
Badirikeni mnaboa
Maana tabia ya kuweka hii minyoya kichwani imeashika kasi hususani sehemu za mijini..mimi sitoi hela kumpa demu asuke nywele bandia!
Fuga za kwako utapendeza tu!
 
Back
Top Bottom