kwa kweli sijivunii kabisa kuwa raia wa nchi hii,cjui kwa nn nilizaliwa hapa,hata majirani zetu wanatudharau sana,wanatuona sie ndo mapimbi namba mja duniani,kwani tuna kila kitu kinachoweza kutufanya tuwe juu kwa kila kitu lakini waaapi,ndo maana nikisafiri kwenda nchi za nje mi najifanya ni msenegali tu kuepuka hii aibu
najivunia sana kuwa mwafrica hasa wa tz..ila sasa kila nikichek hali ilivyo hapa nchini kwetu naishiwa nguvu!!! dah mungu bariki tz na uiponye pia.....
soma nlichoandika na uelewe(kabla hujaropoka)..mimi sijaongelea maswala ya senegal!! mimi cjaongelea maswala ya kusafiri!! USIKURUPUKE KIJANA ELEWA MADA KABLA YA KUJIBU..nawakilishawewe kweli unasafili nnchi za nnje kweli???unawajua hao Wasenegar maisha yao yalivyoo??? wangekua na maisha wasingekua wana tembea na MAIRIZI...mwili mzima maana nao wameisha kata Tamaa ya Maishaa......
Mwanzisha mada kamalizia hivi ".......................... ndo maana nikisafiri kwenda nchi za nje mi najifanya ni msenegali tu kuepuka hii aibu". Swali aliloulizwa ni je, anawaelewa vizuri Wasenegali? Ni swali muhimu maana kwa kujifanya Msenegali badala ya MTZ maana yake anaona Senegali na Wasenegali ni bora kuliko Tanzania na Watanzania. Hiyo ni sawa na kuwakana wazazi wako kwa sababu hawakusoma au ni masikini. Halikufanyi uwe mzalendo bali zuzu tu.soma nlichoandika na uelewe(kabla hujaropoka)..mimi sijaongelea maswala ya senegal!! mimi cjaongelea maswala ya kusafiri!! USIKURUPUKE KIJANA ELEWA MADA KABLA YA KUJIBU..nawakilisha
uko sawa kabisa!! Lakin kumbuka mimi sio mwanzisha mada,sasa inakuaje unanichukulia mimi kama mwanzasha mada? Hayo majib ilibid umpe yeye coz ndo aliyesema maneno hayo,kwamba anasingizia yeye ni mtu wa senegal na mengine meng!! Nadhan hap ulidandia treni kwa mbele..pole sana!!mwanzisha mada kamalizia hivi ".......................... Ndo maana nikisafiri kwenda nchi za nje mi najifanya ni msenegali tu kuepuka hii aibu". Swali aliloulizwa ni je, anawaelewa vizuri wasenegali? Ni swali muhimu maana kwa kujifanya msenegali badala ya mtz maana yake anaona senegali na wasenegali ni bora kuliko tanzania na watanzania. Hiyo ni sawa na kuwakana wazazi wako kwa sababu hawakusoma au ni masikini. Halikufanyi uwe mzalendo bali zuzu tu.