Mimi ni mwanafunzi katika chuo flani cha afya,hapa tanzania nikisomea kozi ya nursing niko mwaka wa pili,je kuna uwezekano wa kumaliza unesi na kujiendeleza kuchukua kozi nyingine kama vile medical doctor,
Au pharmacy?
Majibu yenu tafadhali[emoji120][emoji120]