Hili linafaa kuwa vazi la Taifa

Linafaa kuwa vazi la makada na wapambe wa CCM.

Hapana tukutuku hilo lafaa kuwa vazi la Taifa kwasababu lina rangi za bendera ya Taifa, inaonyesha unachuki binafsi na chama chetu, kilicho fanikiwa kusimamia amani hii tunayojivunia, mambo ya ufisadi achana nayo ni vitu vidogo tuu, ufisadi kitu gani bana
 
limependeza and very attractive may be liwe linavaliwa kwenye shughuli za kitaifa kama siku za muungano,mapinduzi nk
 
1.) its too complex, linachukua material nyingi ya kitambaa watu wa hali duni hawawezi ku-afford

2.) Wamama watu wazima hawawezi kuacha mabega yao wazi na mikanda ya brazia kama huyo binti
 
Nimelipenda sana hili vazi ila sijui kama linafaa kuwa vazi la taifa
 
Halifai kwa kuwa limechukua zaidi (zingine ni ndogo mno) rangi za Lumumba na Jangwani.
 
Are you really serious? Tanzania hakuna amani kama unavyoamini. Ni watu wangapi wanakufa kwa ajali, kukosa matibabu, ujambazi, n.k.? Kutokosa amani sio lazima iwe vita vya bunduki na mishale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…