Hili linafaa kuwa vazi la Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili linafaa kuwa vazi la Taifa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lucchese DeCavalcante, Oct 4, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Oct 4, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Sasa mtu atakuwa anashikilia masaa yote, na atafanyaje shughuli zingine?...BTW ni zuri sana i like it immensely!
   
 3. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #3
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Linafaa kuwa vazi la makada na wapambe wa CCM.
   
 4. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #4
  Oct 4, 2010
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ushabiki wa vyama utaendelea hata baada ya uchaguzi au?
   
 5. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #5
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Hapana tukutuku hilo lafaa kuwa vazi la Taifa kwasababu lina rangi za bendera ya Taifa, inaonyesha unachuki binafsi na chama chetu, kilicho fanikiwa kusimamia amani hii tunayojivunia, mambo ya ufisadi achana nayo ni vitu vidogo tuu, ufisadi kitu gani bana
   
 6. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  limependeza and very attractive may be liwe linavaliwa kwenye shughuli za kitaifa kama siku za muungano,mapinduzi nk
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Taib..hili linafaa kuwa kivazi kwa ajili ya wake na vimada wa mafisadi.
   
 8. S

  Seekype Member

  #8
  Oct 4, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  1.) its too complex, linachukua material nyingi ya kitambaa watu wa hali duni hawawezi ku-afford

  2.) Wamama watu wazima hawawezi kuacha mabega yao wazi na mikanda ya brazia kama huyo binti
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Nimelipenda sana hili vazi ila sijui kama linafaa kuwa vazi la taifa
   
 10. D

  Dick JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2010
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 477
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Halifai kwa kuwa limechukua zaidi (zingine ni ndogo mno) rangi za Lumumba na Jangwani.
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Rangi ambazo ni signature ya umaskini wa mtz.
   
 12. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #12
  Oct 4, 2010
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Are you really serious? Tanzania hakuna amani kama unavyoamini. Ni watu wangapi wanakufa kwa ajali, kukosa matibabu, ujambazi, n.k.? Kutokosa amani sio lazima iwe vita vya bunduki na mishale.
   
Loading...