Eeh lazima yaangalie umri.Sasa binti wa miaka 24 niolewe na babu wa miaka 36!KIsa?Pesa?samahani kaka hata ngozi inakuwa imepoteza mvuto.Angalau miaka 5 mwisho mpenzi kunipita!
Eeh lazima yaangalie umri.Sasa binti wa miaka 24 niolewe na babu wa miaka 36!KIsa?Pesa?samahani kaka hata ngozi inakuwa imepoteza mvuto.Angalau miaka 5 mwisho mpenzi kunipita!
Relationship nyingi ambazo kumekuwa na big age difference ndizo ambazo zimelast na zimejaa furaha. This applies both ways. Hata mwanamume awezo owa manamke mkubwa kwa umri. Na siku zote hao ndiyo wata enjoy love life. Isipokuwa kama mmoja wao amefanya hivyo kwa manufaa fulani. Nina rafiki yangu ameowa mwanamke mkubwa kuliko yeye na furaha waliyokuwa nayo home; I envy them.
Ni kweli mapenzi yanaangalia umri na kuna sababu nyingi ambazo zinapelekea hali hiyo ila inahsauriwa mwanaume amzidi mwanamke umri walau kuanzia miaka 3