Wewe bado una akili za kitoto mno. Unasema kabisa anakupenda kuliko mume wako? Kipimo cha upendo wake unapima na nini? Nyinyi ndiyo mnagawa kama pipi mkidhani mnapendwa kumbe mnagezwa maabara ya kufanyia majaribio. Mtu akija na tamaa zake za ngono na ameshajua wewe ni mke wa tu, hawajibiki kwako kimatumizi, wewe unakenua meno kuwa umepata akupendae kuliko mumeo.