Fakyuol Senior Member Joined Nov 26, 2023 Posts 153 Reaction score 327 Feb 17, 2024 #1 Wakuu Hili limekaaje?? Unakuta mtu mdada ukishaolewa ndo anatokea jamaa anakupenda kuliko mume wako! Ama Mkaka ukishaoa ndo anatokea mdada anakupenda kuliko mke wako? Hii kitaalam imekaaje?
Wakuu Hili limekaaje?? Unakuta mtu mdada ukishaolewa ndo anatokea jamaa anakupenda kuliko mume wako! Ama Mkaka ukishaoa ndo anatokea mdada anakupenda kuliko mke wako? Hii kitaalam imekaaje?
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 10,484 Reaction score 19,989 Feb 17, 2024 #2 Hakuna mtu yupo tayari kubeba majukumu yako kwa 100% ndio maana inatokea hivyo.
Lanlady JF-Expert Member Joined Feb 27, 2019 Posts 1,913 Reaction score 6,524 Feb 17, 2024 #3 Fakyuol said: Wakuu Hili limekaaje?? Unakuta mtu..... mdada ukishaolewa ndo anatokea jamaa anakupenda Kuliko mume wako!!!!! Ama Mkaka ukishaoa ndo anatokea mdada anakupenda kuliko mke wako??? Hii kitaalam imekaaje?????? Click to expand... Huyo mdada au mkaka mnakuwa mmefahamiana kabla au baada ya ndoa? Na kama ni kabla alikuwa anakuchukuliaje? Na kama ni baada nini kimemvutia? Nb: kuna watu ni wavurugaji wa mahusiano ya watu. Ni agents wa sheta. Ukishaingia king, anakuacha kama hakujui!
Fakyuol said: Wakuu Hili limekaaje?? Unakuta mtu..... mdada ukishaolewa ndo anatokea jamaa anakupenda Kuliko mume wako!!!!! Ama Mkaka ukishaoa ndo anatokea mdada anakupenda kuliko mke wako??? Hii kitaalam imekaaje?????? Click to expand... Huyo mdada au mkaka mnakuwa mmefahamiana kabla au baada ya ndoa? Na kama ni kabla alikuwa anakuchukuliaje? Na kama ni baada nini kimemvutia? Nb: kuna watu ni wavurugaji wa mahusiano ya watu. Ni agents wa sheta. Ukishaingia king, anakuacha kama hakujui!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,408 Reaction score 185,021 Feb 17, 2024 #4 Hayanaga muongozo... Cc: Mahondaw
Baba Rhobi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2020 Posts 1,798 Reaction score 3,257 Feb 17, 2024 #5 Amina.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,222 Feb 17, 2024 #6 Smart911 said: Hayanaga muongozo... Cc: Mahondaw Click to expand... Wanawake Wazuri hawaishiii smart mtuliege😁! Sema Wakija weee firimba tu🤭
Smart911 said: Hayanaga muongozo... Cc: Mahondaw Click to expand... Wanawake Wazuri hawaishiii smart mtuliege😁! Sema Wakija weee firimba tu🤭
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,408 Reaction score 185,021 Feb 17, 2024 #7 Mahondaw said: Wanawake Wazuri hawaishiii smart mtuliege😁! Sema Wakija weee firimba tu🤭 Click to expand... Nimeokoka...
Mahondaw said: Wanawake Wazuri hawaishiii smart mtuliege😁! Sema Wakija weee firimba tu🤭 Click to expand... Nimeokoka...
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,222 Feb 17, 2024 #8 Smart911 said: Nimeokoka... Click to expand... Aminaa praise the Lord!! Hallelujah 😁
DR Mambo Jambo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 12,652 Reaction score 28,503 Feb 17, 2024 #9 Fakyuol said: Wakuu Hili limekaaje?? Unakuta mtu mdada ukishaolewa ndo anatokea jamaa anakupenda Kuliko mume wako! Ama Mkaka ukishaoa ndo anatokea mdada anakupenda kuliko mke wako? Hii kitaalam imekaaje? Click to expand... Jina lako tu mimi Ndo limenichekesha.. Sasa ushatutukana na unataka tuchangie mada yako🤣🤣
Fakyuol said: Wakuu Hili limekaaje?? Unakuta mtu mdada ukishaolewa ndo anatokea jamaa anakupenda Kuliko mume wako! Ama Mkaka ukishaoa ndo anatokea mdada anakupenda kuliko mke wako? Hii kitaalam imekaaje? Click to expand... Jina lako tu mimi Ndo limenichekesha.. Sasa ushatutukana na unataka tuchangie mada yako🤣🤣
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,579 Feb 17, 2024 #10 Fakyuol said: Hii kitaalam imekaaje? Click to expand... Hii kitaalamu tunaiita Mbuzi kala Mbuzi na hao wakipendana mapenzi yao yananoga balaa anakula vitamu kuliko anavyokula kwa mkewe au kwa mumewe maana anapokea penzihuru bila ya usumbufu wa mawazo ya hapa na pale
Fakyuol said: Hii kitaalam imekaaje? Click to expand... Hii kitaalamu tunaiita Mbuzi kala Mbuzi na hao wakipendana mapenzi yao yananoga balaa anakula vitamu kuliko anavyokula kwa mkewe au kwa mumewe maana anapokea penzihuru bila ya usumbufu wa mawazo ya hapa na pale
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,579 Feb 17, 2024 #11 Mahondaw said: Aminaa praise the Lord!! Hallelujah 😁 Click to expand... Antonnia wewe hujaokoka?
D Dzigbode Senior Member Joined Feb 15, 2023 Posts 172 Reaction score 327 Feb 17, 2024 #12 Shetani anakuwa anafanya kampeni
Technologiest JF-Expert Member Joined Feb 8, 2017 Posts 3,712 Reaction score 4,026 Feb 17, 2024 #13 Fakyuol said: Wakuu Hili limekaaje?? Unakuta mtu mdada ukishaolewa ndo anatokea jamaa anakupenda Kuliko mume wako! Ama Mkaka ukishaoa ndo anatokea mdada anakupenda kuliko mke wako? Hii kitaalam imekaaje? Click to expand... Shetani hafuati mahali ambapo haoni baraka,sasa ameona ndoa anataka kuvuruga, sasa wewe single akufatie nn
Fakyuol said: Wakuu Hili limekaaje?? Unakuta mtu mdada ukishaolewa ndo anatokea jamaa anakupenda Kuliko mume wako! Ama Mkaka ukishaoa ndo anatokea mdada anakupenda kuliko mke wako? Hii kitaalam imekaaje? Click to expand... Shetani hafuati mahali ambapo haoni baraka,sasa ameona ndoa anataka kuvuruga, sasa wewe single akufatie nn
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,360 Reaction score 91,912 Feb 17, 2024 #14 DR Mambo Jambo said: Jina lako tu mimi Ndo limenichekesha.. Sasa ushatutukana na unataka tuchangie mada yako🤣🤣 Click to expand... Ee bhana,shangaa nawe
DR Mambo Jambo said: Jina lako tu mimi Ndo limenichekesha.. Sasa ushatutukana na unataka tuchangie mada yako🤣🤣 Click to expand... Ee bhana,shangaa nawe
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,579 Feb 17, 2024 #15 Dzigbode said: Shetani anakuwa anafanya kampeni Click to expand... Kwa hio walio Single ndio hawafuatwi na Shetani? mboni Shetani anasingiziwa kila kitu?
Dzigbode said: Shetani anakuwa anafanya kampeni Click to expand... Kwa hio walio Single ndio hawafuatwi na Shetani? mboni Shetani anasingiziwa kila kitu?
H hahaha always done JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 1,329 Reaction score 2,246 Feb 17, 2024 #16 Fakyuol(*** you all) Na moderators were there watching it! Mpaka mtu aandike matusi kwenye comments ndio mumpige barn ! Hamkeni Sasa !
Fakyuol(*** you all) Na moderators were there watching it! Mpaka mtu aandike matusi kwenye comments ndio mumpige barn ! Hamkeni Sasa !
Kingsmann JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 5,185 Reaction score 19,403 Feb 17, 2024 #17 Remember life is all about responsibilities...
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,579 Feb 17, 2024 #18 Oppomall said: Shetani hafuati mahali ambapo haoni baraka,sasa ameona ndoa anataka kuvuruga, sasa wewe single akufatie nn Click to expand... Walio Single hawafuatwi na Shetani? Ila waliooa na kuolewa ndio wanafuatwa na Shetani? Hii ni Iman au mzigo?
Oppomall said: Shetani hafuati mahali ambapo haoni baraka,sasa ameona ndoa anataka kuvuruga, sasa wewe single akufatie nn Click to expand... Walio Single hawafuatwi na Shetani? Ila waliooa na kuolewa ndio wanafuatwa na Shetani? Hii ni Iman au mzigo?
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,988 Reaction score 177,222 Feb 17, 2024 #19 stow away said: Antonnia wewe hujaokoka? Click to expand... Nimeokoka kitambo sana! Hivi wokovu ninini vileee???🤔🤔 cc Smart911
stow away said: Antonnia wewe hujaokoka? Click to expand... Nimeokoka kitambo sana! Hivi wokovu ninini vileee???🤔🤔 cc Smart911
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,408 Reaction score 185,021 Feb 17, 2024 #20 Mahondaw said: Nimeokoka kitambo sana! Hivi wokovu ninini vileee???🤔🤔 cc Smart911 Click to expand... Ni kufanya na Smart911 pekee na siyo vinginevyo...
Mahondaw said: Nimeokoka kitambo sana! Hivi wokovu ninini vileee???🤔🤔 cc Smart911 Click to expand... Ni kufanya na Smart911 pekee na siyo vinginevyo...