Hiyo imeshatokea katika vyakula; mazao Mbadala kuna organic food kwa sasa ni rahisi kuliko local natural grown products;
Kama za katani (mikonge) ni ghali kuliko kamba za plastic ni rahisi; Mbao asilia ni ghali ikuliko mbao za kusindi; nk...!
mabadiliko yanakuja vilivyo!