Hili la Serengeti Boys (U17) issue ipo kwa Mengi na Makonda-Uchawi ulianzia hapa

Uchawi ulianza kwenye mchujo wa timu ya Afcon, nepotizimu, favaratizimu na korapusheni
 
Bashite ni virus akiingia popote ni majanga.. Kwanza timu yenyewe imechaguliwa kikanda acha wachabangwe tu
 
Serengeti Boys ya watanzania,angalia azam two uchoshwe na matangazo ya sifa za kijinga za serengeti boys.Watu walidanganyika na clips zinazoonesha Serengeti inapofunga tu,wakadhani Tanzania kuna mpira.Kama mama,kama binti,kama binti kama mama.Vyombo vyetu vya habari kama vya Uingereza sifa lukuki,kana kwamba ni timu ya mashindano,kumbe ya burudani tu.

Na bahati mbaya timu zinapojaribu kufanya vizuri kidogo na siasa zinaanza,Subiri sifa zitakapoaanza kwa Taifa Stars wakikaribia kwenda Misri.Bado UJINGA wa vyombo vya habari kwenye usajili wa Yanga na Simba.mchezaji anasifiwa,lakini ukija kumwona anavyocheza,sifa na anachokifanya ni mbingu na ardhi.
 
Back
Top Bottom