Hili la Mkuu wa Mkoa wa Simiyu ni jipya kwenye soko huria

Keng'oni

Senior Member
Dec 30, 2013
183
147
"Mzabuni yeyote anayetaka kufanya biashara ya Chaki Na Shule za Serikali Mkoani Simiyu Sharti wanunue kwenye kiwanda cha Maswa"
"HILI NI Agizo Na Halijadiliki nimeshasema"

My Take:
Uchumi unasemaje!?

Zile Shule zilizokuwa Na uwezo wa kuagiza kutoka kiwandani Moja kwa Moja through Competitive Quotation haitazingatiwa tena kulingana Na sheria za Manunuzi?!

Source: Taarifa ya Habari ITV - 27.12.2016 - 20:10
 
Analenga nn nadhani ndo cha muhimu, soko huria kibongo bongo no kama hakuna tu. Kumbuka sukari . Ni kauli nzuri kwa mwenyewe kiwnda bt ni Bomu kwa washindani wake.
 
Lengo kuu la Mfanyabiashara ni kupata faida, akiona hiyo biashara haimlipi anaachanayo tu, anatafuta biashara nyingine ya kufanyia, swala la biashara hatulazimishani
 
kiwanda kipo maswa utoe chaki Dar ili watu wa Maswa wakose kazi?kama bei zitakuwa sawa au za Maswa ni za chini,naungana na mkuu wa mkoa
Kiwanda kuwa Dar siyo tatizo je ni kweli viwanda vyote vya Dar vitakuwa Na Bei kubwa kuliko hicho cha Maswa!? Vipi kuhusu Ubora, Na Factor zingine
Any way Business as usual!!
 
kiwanda kipo maswa utoe chaki Dar ili watu wa Maswa wakose kazi?kama bei zitakuwa sawa au za Maswa ni za chini,naungana na mkuu wa mkoa
Boss, ua, "inferiority complex" is shocking,,,! Hivi Maswa ni nchi gani,,,? na Dar ni nchi gani,,,? Ndio maana sungusungu hawaishi kuawatandika,,,,! Tangu lini hii nchi ikwawa ya "Majimbo"???! Hiyo sukari na mikate mnayoila kila siku inatengenezwa hapo Maswa,,,,?
 
Mimi nilipomsikia mkuu wa mkoa nikajisemea huyo mzabuni wanayemtajataja mbona hana kazi tena!!
 
Yaani na nyie bwana mnakuwa kama wageni nchi hii? Boss wao mwenyewe ameagiza kazi zote wapewe jamaa fulani sasa cha ajabu ni nini? Tuyaache yafanye tu yanavyotaka! Dunia hii kuna nchi zingine nyoko sana!
 
Kuanzia leo kama kuna mtu hakipigii kura chama cha ccm hana haki sawa kama watanzania wenye kadi ya ccm ...sorry naota tuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom