Hili la Marehemu Steven Kanumba kufanyiwa MISA hp soweto A town cjui ina maana gani!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Kutakuwepo na Misa ya kumwombea Marehemu tajwa hapo juu jumapili ya tar 15/04/2012 majira ya saa tatu ya asubuhi na kuendelea!

Misa hii itaendeshwa na dhehebu zote kuu mbili Nchini ya Dini (Kikrsto na Kiislamu).
Sijapata kuelewa maana haswa ya Misa hii ila nimejiwa na maulizo mengi kichwani baada ya kuinyaka hbr hii.

Source ni mmoja wa watumishi watakaoendesha ibada kesho hapo viwanja vya Soweto hapa A town!

Ntarudi!
 
kujifurahisha tu ..ninavyojua mtu akishakufa hamuwezi kufanya chochote kubadilisha mawazo ya Mungu..kinachotakiwa ni kuyaenzi yale mema ambayo ameyaacha marehemu na wala sio kukaa kaa na kuanza kumsalia salia haisaidii kitu , tunaongozwa na hisia zaidi ninavyoona
 
Kwani kuna shida gani akifanyiwa hivyo?

Ameifanyia ni Taifa letu mpk akumbukwe kivile?
Mi cjaona hata lolote alilofanya.

Labda wewe nipe mbili, tatu cha kukufanya uishawishi Taifa kumkumbu daima!

Maana labda Mi nimepitiwa!
 
kujifurahisha tu ..ninavyojua mtu akishakufa hamuwezi kufanya chochote kubadilisha mawazo ya Mungu..kinachotakiwa ni kuyaenzi yale mema ambayo ameyaacha marehemu na wala sio kukaa kaa na kuanza kumsalia salia haisaidii kitu , tunaongozwa na hisia zaidi ninavyoona

Tena Mi nimeiona kama ni hisia mbaya haswa!
 
Nyie huyo mungu aliye waambia kuwa haina maana kumuombea aliye mchukua labda siyo yeye atakaye ombwa. Lkn kwetu wakristo kuna option tuliyo pewa, 'litakalo funguliwa dunian na mbingun limefunguliwa na litakalo fungiwa dunian na mbingun limefungiwa' Kanumba hakua mali ya shetan na ndio maana tutamtangazia shetan na kumpokonya uwezo wa kuwa nae kwa ibada. Poleni sana
 
mkuu hayo maneno ya kufunga na kufunguliwa ni sawa kabisa lakini huyu Mungu hataki ibada za wafu. Angekua mgonjwa chalii angu tungefunga kwa maombi kabisa sasa unasema unampokonya satan nn wakat keshaenda. Yesu kasema aaminie na kbtzwa ataokoka asieamin amekwisha hkmiwa. Tusjdanganye jman. Twenden chach!!
 
as long as wanamuomba Mungu muumba wa mbingu na nchi waombe tu, kuliko wale wanaoishia kufanya kafara.
 
Nyie huyo mungu aliye waambia kuwa haina maana kumuombea aliye mchukua labda siyo yeye atakaye ombwa. Lkn kwetu wakristo kuna option tuliyo pewa, 'litakalo funguliwa dunian na mbingun limefunguliwa na litakalo fungiwa dunian na mbingun limefungiwa' Kanumba hakua mali ya shetan na ndio maana tutamtangazia shetan na kumpokonya uwezo wa kuwa nae kwa ibada. Poleni sana

vipofu wawili wakiongozana upotea au kutumbukia katika shimo.baada ya kufa ni hukumu.MUNGU alimpa miaka 28 ya kutengeneza njia zake ndugu kama akuwez never ever usitegemee kwa maomb yako unaweza badilish hukumu ya MUNGU juu ya kanumba now anavuna alichopanda.
 
kujifurahisha tu ..ninavyojua mtu akishakufa hamuwezi kufanya chochote kubadilisha mawazo ya Mungu..kinachotakiwa ni kuyaenzi yale mema ambayo ameyaacha marehemu na wala sio kukaa kaa na kuanza kumsalia salia haisaidii kitu , tunaongozwa na hisia zaidi ninavyoona
Watu cjui hawana vitu vya kufanya mkuu,kuna mambo mengi sana ya kuombea juu taifa letuwatu wamekalia kanumba kanumba.. Hopeless..
 
Kama wameamua kumuombea kuna ubaya gani?
Hakuna anayejua for real kinachotokea huko kwa Mungu. Tusipende ku criticize tu kila kitu.
 
Nyie huyo mungu aliye waambia kuwa haina maana kumuombea aliye mchukua labda siyo yeye atakaye ombwa. Lkn kwetu wakristo kuna option tuliyo pewa, 'litakalo funguliwa dunian na mbingun limefunguliwa na litakalo fungiwa dunian na mbingun limefungiwa' Kanumba hakua mali ya shetan na ndio maana tutamtangazia shetan na kumpokonya uwezo wa kuwa nae kwa ibada. Poleni sana

pole sana mkuu, ingekuwa hivyo watu wote tungeingia peponi!! Yaani ufe na midhambi yako, then waliobaki wafunge na kuomba eti wanafungua milango ya mbinguni!! Hakuna kitu hapo, tubu dhambi zako kabla mauti hayajakukuta! "mtu anapokufa, ndo mwisho wa mapambano yake yakikristu!"
 
kazi bure, mtu akifa ni hukumu, usitegemee kufanya uzinzi afu ukifa ndo uende mbinguni wakati hujatubu, never!
 
Back
Top Bottom