Hili la Igunga ni doa...!


kwahiyo ulichokiandika wale wanakijiji kule IGUNGA wanakiona!?
 
Wanunuaji wa bendela ni CCM, pita vijiwe vyoote vya vijana wanajua hata bei ya bendela. CHADEMA hawana fedha za kununua bendela ila wenye mapenzi na wanachama wanatundika tuu. Wacha woga na unafiki washusha bendela za wenzao ni CCM huo ni mtindo wao!!!!!!!! Mkinunua vijana watatundika tena, pole saana safari hii imekula kwenu!!!!! Hao vijana wageni wamejificha wapi, kwa hiyo wanatembea usiku tuu kushusha bendela????????!!
 

toa upuuzi wako hapa, ccm hatuwasamehi igunga hata waongeze polisi jimbo nzima, tumeamua na tumejipanga kulichukua, endelea kufikiri kwakutumia tumbo.

kweli ccm kila siku inaendelea kuwa na vilaza mwisho wenu umefika, na moto wa CDM mtaujua igunga
 
Ccm magamba km mngejua muda wa kuandika au kutoa maoni hapa jf hamna maana mna ahadi 90 alizo zitowa baba r one hata moja bado au ilikua hewa ya ushuzi upepo ukipita harufu hakuna
 

Hizo habari ni uongo, nimkakati wako na CCM kwa hofu, mbona mkakati wa CCM hujaujadili na anajulikana mkakati ni wakipuuzi wa rushwa.
 
&t <br />
<br />

sule, let me guess, you might be under 30, inexperienced with tz's politics and Pwani's UVCCM staunch member.
Pole mdogo wangu.
 

CHADEMA siyo kama hicho chama chenu kama malaya aliyekosa soko. vijana wanajitolea wenyewe kutoka pande zote za nchi kwa gharama zao wenyewe. watu wamechoka na upumbavu wenu. nenda karudi kwa aliyekutuma humu kuwa umekosea njia.

Ficha upumbavu wako, usifiche Hekima yako. ushauri wa invisible huo.
Suley
Senior Member



Join Date : 24th August 2010
Posts : 51
Rep Power : 22
 
Washusha bendera ni ccm nakumbuka siku dogo Nape alipoenda Singida ccm walifanya vurugu za Ludhiana bendera na yeye alikuwa akichekelea kuzipokea bendera za chadema.
 
Mheshimiwa Mwanagama naona hii huku JF si mahali pake embu ipeleke kule Mapinduzi Forum inapata positive Responce kwani ndo wanatakiwa kusikia hizo porojo zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…