Hili je mwalijua?

Hili je mwalijua?

Bang'a

Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
15
Reaction score
0
Je mwafahamu ukifika maeneo ya loriondo arusha, cm za vganja hubadil dsplay na kuandika ''sasa unaingia falme za kiarabu, karibu falme za kiarabu''. Ilibd niulize waungwana walijibu hv nacot ''wanasema et kuna wat toka falme za kiarabu wamenunua loriondn wakafanya nininini sijui...!'' dnt ask 4 more dtls 4rom me.
 
Acha kuwa na akili ndogo kiwango hiko,shame on u.
 
loriondo ndo nini? simu huwa zinabadili display? displays huwa zinaandika?
 
Ilibd niulize waungwana walijibu hv nacot ''wanasema et kuna wat toka falme za kiarabu wamenunua loriondn wakafanya nininini sijui...!'' dnt ask 4 more dtls 4rom me.
Next time ukiwa na lengo la kutujuza au kuomba mchango wa mawazo tunaomba tutafutie details za kutosha please!Lengo lako lilikuwa zuri lakini kwasasa unaonekana hukufanya homework ya kutosha waungwana watashindwa kukusaidia.
 
Sasa 'the boss' why should i fil shy! Cynic loriondo ni mji ndan ya mkoa wa manyara zaman arusha. Na cm znabdilisha display, yaan badala ya zain au tigo au vodacom inaonyesha 'sasa unaingia falme za kiarabu' jaman ckusimuliwa yalinkuta. Sijui ni shame gan natakiwa kuwa nayo.
 
Bang'a
Junior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Wed Sep 2009
Posts: 7
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post

Sio kosa lako
 
SI loriondo ni LOLIONDO wilaya ya Ngorongoro mkoa wa Arusha,Ni kweli cm za vganja hubadil dsplay na kuandika ''sasa unaingia falme za kiarabu, karibu falme za kiarabu''.lakini si kote liliondo,maeneo karibu na Kijiji cha OLOLOSOKWAN kuna maeneo hapo utapata mtandao wa huu,Na kuna kampuni ya kiwindaji ya kiarabu inayofanya kazi za kiwindaji LIliondo itwayo Otel Bussiness Coperation(OBC) mwenye mtandao huu,Mie naogopa kuelezea kwa undani Kampuni hii ila ni ya kinyonyaji sana hapo Loliondo kwa local community within the Area of operation,nikielezea mtalia jinsi watanzania wanavyonyanyaswa na wawekezaji wanao kula na tabaka la juu.
 
Mwacheni jamani amewasilisha hoja, na lazima mumemuelewa ndio maana mmejitokeza, labda tu kama matamshi yana kasoro cha kufanya changieni kiini cha mada elimu zetu zinatofautiana na kujieleza pia ni ujuzi. Tusaidiane.
 
SI loriondo ni LOLIONDO wilaya ya Ngorongoro mkoa wa Arusha,Ni kweli cm za vganja hubadil dsplay na kuandika ''sasa unaingia falme za kiarabu, karibu falme za kiarabu''.lakini si kote liliondo,maeneo karibu na Kijiji cha OLOLOSOKWAN kuna maeneo hapo utapata mtandao wa huu,Na kuna kampuni ya kiwindaji ya kiarabu inayofanya kazi za kiwindaji LIliondo itwayo Otel Bussiness Coperation(OBC) mwenye mtandao huu,Mie naogopa kuelezea kwa undani Kampuni hii ila ni ya kinyonyaji sana hapo Loliondo kwa local community within the Area of operation,nikielezea mtalia jinsi watanzania wanavyonyanyaswa na wawekezaji wanao kula na tabaka la juu.

Safi sana Saikon japokuwa na wewe umekosea baadhi ya maneno lakini njua umeelewa nini Bang'a alikuwa analenga sasa usiogope kutueleza hatutalia tutatafakari. Lete habari.
 
walaniwe wote wanaouza maliasili za taifa letu, walaniwe wote wenye mawazo yakubaka maliasili zetu, walaniwe wote wanaoshauri haya mambo kuanzia pale mpingo house , ilipo Wizara ya maliasili na utalii barabara ya nyerere....ni kwakitambo tu, hawa watakimbia maana saa ya ukombozi imekaribia.
 
Back
Top Bottom