hili gundu au?

Umeasahau ulishaajiriwa na DOWANS nayo ikafa.
 
Hahaha halafu na ww si ulikuwa enginia wa ndege pale ATCL........mjini shule!
 

Halafu kama nilikuona kwenye listi ya wanaozungushwa malipo yao
ya Afrika Mashariki, nasikia uliajiriwa mwaka 1977 mwezi mmoja kabla
haijavunjwa...
 
Jomba mrudie mungu wako kwanzia sasa coz itakuwa labda nawe ukombioni.
 
chukua maji ya baharini changanya na ndimu na magadi, kisha yaweke kwa siku tatu gizani, siku ya nne chukua maji yaliyotumika kuoshea maiti changanya na yale ya kutoka vyooni halafu kunywa mengine uwe unanawa usoni kwa muda wa siku saba, kwa hakika hautakosa kazi tena kwa kisingizia ocha makampuni kufa
 


mkuu una elimu gani maana isije ikawa una kaelimu ka darasa la saba kwa kufanya kazi za kufagia jikoni na koridoni halafu utegemee uwe considered at time of economic vagaries? Nenda kajiendeleze ili taanesiko kimbunga kikipita usalimike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…