Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 364
- 728
Nenda Kwenye game variant uchague Tanzania rules.Salam wakuu. Mimi ni mpenzi wa draft,Sasa nimeingia humu jukwaani nikakuta wengi wanalisifia hili draft la dalmax liko plastore.
Nikasema ngoja nikalipakue nione Lina nini cha ziada, nimelipakuwa nimelifungua lakin kuna Mambo siyaelewi
Kwanza huyu sijui ndo dalmax anajifikiria sana yaani anachelewa kusukuma kete
Pili hili draft sio Kama haya tulioyazea haliruhusu king kuruka
Hata ladha ya kucheza draft imepotea
Hebu wakuu naombeni mnielekeze draft ambalo halina longolongo make hili la dalmax silielewi
Natanguliza shukrani
NB: Tusameheane sio mzuri sana kwenye uandishi
Shukrani mkuu ngoja nikajaribuNi kitambo Sana nililicheza.
Kwa matatiso yako..
Tafuta sehemu ya rules, ukiona za Tanzania bofyq hapo.
Kisha kwenye muda wa kufikiri punguza miaka sekende 3 sijui zile.
Itakuwa poa
NikajaribuNenda Kwenye game variant uchague Tanzania rules.
UongoNenda kwenye Setting Uchague 1.Tanzania Rule.
2. Uongeze Speed per minute.
3. Utoe mamistari nk
Utaenjoy game.
Mimi nimewahi kumfunga Dalmax hadi akaniuliza Are you Tanzanian????
Nenda kwenye Setting Uchague 1.Tanzania Rule.
2. Uongeze Speed per minute.
3. Utoe mamistari nk
Utaenjoy game.
Mimi nimewahi kumfunga Dalmax hadi akaniuliza Are you Tanzania
Hizo chekers nishachukua za kutosha, tatizo ni nyepesi mno. Hazina ule ushindani unaotakiwaNilikua natumia checkers, liko poa, rules unaziweka mwenyewe.
bona Kama hili la kwangu halina hizo option ulizoongelea hapoNenda kwenye Setting Uchague 1.Tanzania Rule.
2. Uongeze Speed per minute.
3. Utoe mamistari nk
Utaenjoy game.
Mimi nimewahi kumfunga Dalmax hadi akaniuliza Are you Tanzanian????
Unachezaga na draft kwani we ni mzanzibarNilikua natumia checkers, liko poa, rules unaziweka mwenyewe.
BNenda kwenye Setting Uchague 1.Tanzania Rule.
2. Uongeze Speed per minute.
3. Utoe mamistari nk
Utaenjoy game.
Mimi nimewahi kumfunga Dalmax hadi akaniuliza Are you Tanzanian????
Game app mkuuWakuu hilo ni game app au mnachezea mtandaoni
You are not seriousNenda kwenye Setting Uchague 1.Tanzania Rule.
2. Uongeze Speed per minute.
3. Utoe mamistari nk
Utaenjoy game.
Mimi nimewahi kumfunga Dalmax hadi akaniuliza Are you Tanzanian????
Quick checkers ipo playstoreSalam wakuu. Mimi ni mpenzi wa draft,Sasa nimeingia humu jukwaani nikakuta wengi wanalisifia hili draft la dalmax liko plastore.
Nikasema ngoja nikalipakue nione Lina nini cha ziada, nimelipakuwa nimelifungua lakin kuna Mambo siyaelewi
Kwanza huyu sijui ndo dalmax anajifikiria sana yaani anachelewa kusukuma kete
Pili hili draft sio Kama haya tulioyazea haliruhusu king kuruka
Hata ladha ya kucheza draft imepotea
Hebu wakuu naombeni mnielekeze draft ambalo halina longolongo make hili la dalmax silielewi
Natanguliza shukrani
NB: Tusameheane sio mzuri sana kwenye uandishi
Shukran mkuu vp Lina ruhusu nakula mbele na nyuma?