Hili bango lingekuwepo Tanzania mapato ya barabarani yangepungua

Hapa kwenye mlima wa kibamba kuinukia kiluvya kibao cha 50 kimekata lakini wazee wanaweka tochi ivyo ivyo ukifika kuluvya tu wanakusimamisha utasikia umepigwa tochi uko nyuma,,

Sent using Jamii Forums mobile app
Kukiwa na network ya vikamera stable (outdoor) ambavyo sio rahisi kuhujumiwa kila kwenye maeneo ya kimkakati ambapo spidi haitakiwi kuzidi kiasi flani. Alafu kukawa na control room ya kumonitor magari na spidi kwa siku Moja mapato ya Overspeeding yanaweza kuzidi Budget ya Taifa ila Ikijulikana yatarudi 0 kama jamaa watakuwa tayari kubadilika.

hizi picha zitawekwa kwenye makumbusho ya Taifa.
 
Hivi ana bima huyo

Sent from my SM using Tapatalk
 
Acha nikuambie mkuu siku zote ukijua ni watu gani walio kuzunguka ni rahis sana kuwatawala hapo wameweka ilo tagazo sehem ambayo hamna hata iyo camera, hapo kama ww ni dereva ukiliona mentally uta puguza speed ukizani kuna kamera lkn baada ya mda kidogo utajua umesha pita speed camera sasa ndo mda unakanyaga mafuta speed 120 sasa ndo unakutana na camera yenyewe unapigwa fini kirahis unabaki unajiuliza imekuwaje.... Police ni wajanja hatari yani ukienda kichwa kichwa umeenda
 
Mkuu wao hawafanyi Sanaa hizi mbele kweli kuna kamera
 
Hakika faida tuipatayo kutoka kwa askari barabarani ni ndogo sana ukilinganisha na hasara yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…